Jumatano, 11 Aprili 2018

JE UNAFAHAMU CHANZO CHA CANCER(KANSA)?

Timu Ya madaktari nchini marekani imeeleza juu Ya vyanzo vinavyoweza kusababisha ugonjwa huo hatari wa kansa navyo n
Kunywa chai katika vikombe vya plastic
2 kula kitu KWENYE kitu cha plastic mfano chips
3 kupasha chakula KWENYE microwave ukiwa Na Chombo cha plastic
KUMBUKA CHOMBO CHA PLASTIC IKIKUTANA NA JOTO HUZALISHA AINA 52 ZA KANSA

Jumapili, 1 Aprili 2018

STADI ZA MAISHA

Mpenzi msomaji wa blog ya Deodatus media katika msimuu huu wa mwezi wa nne napenda kukukaribisha wewe unaependa HABAR katika blog yangu kuwa inatoa NAFASI kwa wale wanaotaka kutangaziwa biashara yao .kuwa kuna punguzo la bei kwa wale wanaotaka Kufanya biashara zao zijulikane Na kukua kipato chako wasaliana nami kwa get mail account deodatuskilinga5@gmail.com au whatssapp Na nipigie simu no 0743822347

Alhamisi, 22 Machi 2018

SHUHUDIA MAAJABU Ya MTOTO HUYU antony

Tanzania ni nchi Ya watu wenye uwezo wa Akili MTOTO HUYU peter Ameweza kujieleza Na kusuluhisha Mali Za familia zisiuzwe


Habari Kama HII usiache kutufatilia

Jumanne, 20 Machi 2018

TUMBATU,KISIWA KISICHO NA GARI WALA BARABARA

Je unakifahamu kisiwa KISICHO Na GARI WALA barabara Ndo HIKI hapa
TUMBATU ni kisiwa kilichopo Zanzibar mjini pemba nje kidogo ambacho watu wake hawajawahi kuona WALA kupanda GARI toka wadogo hadi uzeeni
Kwa habari nyingi usiache kutufatilia Deodatus media.blogspot.com
Na kukutangazia biashara yako kwa bei nafuuu kwa
0743822347au kilingadeodatus5@gmail.com
  • Asant

INASISIMUA,INAFUNDISHA,INAELEKEZA

Habari mpenzi msomaji wa blog Ya Deodatus media napenda kukufundisha Habari hii ili uelimike Na ujue jinsi ya kuishi Na watu wote
Kulikuwa Na familia moja ya mke,mme Na watoto wawili ambao walikuwa wakiishi pamoja
Siku zilivyozidi Kwenda mke akawa anapenda kucheat Lakini mme alivyokuwa anaambiwa akawa anapotezea Na mke akawa anamdanganya mmewe Lakini siku moja mme akataka kufanya suprise kwa mkewe
Siku hiyo aliaga anasafiri Na sivyo ndivyo alienda gesti mida ya saa sita usiku akarudi nyumbani Na kukuta kufuli nyumbani kwake akaenda hadi chumba anacholala yeye Na kubisha hodi dirishan Lakini hakujibiwa akagonga wanapolala watoto Na watoto wakaamka Na kumkuta baba yao mlangoni Na wakamuuliza baba mama yupo wapi?baba akawadanganya kwa kuwaambia kuna sehemu ameenda mida ya saa Saba mama akawa analetwa njiani Karibu Na nyumba akaona mlangoni kuna mtu amesimama
Je unataka kujua nn kiliendelea
Fatilia  kisa HIKI baaada ya siku tatu
Asanteni wote wasomaji wangu
Kwa Kukutangazia biashara yako usiache kunitafuta kupitia simu namba 0743822347
Au kilingadeodatus5@gmail.com
Thanks so much
Contact me

NAFASI ZA KAZI JIAJIRI

Karibu kwenye blog yangu ya Deodatus media inapenda kukutangazia wewe kijana mahali popote ulipo kuwa
Kama unataka Kufanya matangazo yoyote kwa bei nafuu
Iwe ni biashara au NAFASI Za ajira tangaza nami kwa bei nafuuu kwa kupitia gmail account ambayo ni
Kilingadeodatus5@gmail.com
Au kwa simu namba 0743822347
Na tutafanya kazi pamoja
Aksante

Jumatatu, 19 Machi 2018

KULALA NA NGUO ZA NDANI NI CHANZO CHA UGUMBA?

Magazeti mengi yalieleza kwamba kulala Na nguo Za NDANI ni chanzo cha ugumba (je kweli?)kuhusu jambo hili

Fatilia makala HII hadi Mwisho tukueleze
Kwanzaa kwa upande wa mwanamke jambo hili haliwezi sababisha ugumba kwa mujibu wa madaktari wengi wanasema Kwamba kutokana Na viungo vya uzazi wa mwanamke vipo ndani haviwezi leta madhara yoyote ila kwa upande wa mwanaume tatizo hili linaweza kutokea kwa kuvaaa nguo Za kubana kutokana Na viungo vya uzazi wa mwanaume vipo nje Hali hii inaweza kutokea kutokana Na kuvaa nguo Za kubana Sana wakati wa usiku vilevile kuvaa nguo Za mpira

Kuna mambo yanaweza kusababisha ugumba Kama vile magonjwa ya ngono pia makovu yatokanayo Na upasuaji vilevile magonjwa ya muda mrefu

Asante kwa kufatilia makala yetu kwa kupata habari nyingi zaidi