Alhamisi, 22 Machi 2018

SHUHUDIA MAAJABU Ya MTOTO HUYU antony

Tanzania ni nchi Ya watu wenye uwezo wa Akili MTOTO HUYU peter Ameweza kujieleza Na kusuluhisha Mali Za familia zisiuzwe


Habari Kama HII usiache kutufatilia

Jumanne, 20 Machi 2018

TUMBATU,KISIWA KISICHO NA GARI WALA BARABARA

Je unakifahamu kisiwa KISICHO Na GARI WALA barabara Ndo HIKI hapa
TUMBATU ni kisiwa kilichopo Zanzibar mjini pemba nje kidogo ambacho watu wake hawajawahi kuona WALA kupanda GARI toka wadogo hadi uzeeni
Kwa habari nyingi usiache kutufatilia Deodatus media.blogspot.com
Na kukutangazia biashara yako kwa bei nafuuu kwa
0743822347au kilingadeodatus5@gmail.com
  • Asant

INASISIMUA,INAFUNDISHA,INAELEKEZA

Habari mpenzi msomaji wa blog Ya Deodatus media napenda kukufundisha Habari hii ili uelimike Na ujue jinsi ya kuishi Na watu wote
Kulikuwa Na familia moja ya mke,mme Na watoto wawili ambao walikuwa wakiishi pamoja
Siku zilivyozidi Kwenda mke akawa anapenda kucheat Lakini mme alivyokuwa anaambiwa akawa anapotezea Na mke akawa anamdanganya mmewe Lakini siku moja mme akataka kufanya suprise kwa mkewe
Siku hiyo aliaga anasafiri Na sivyo ndivyo alienda gesti mida ya saa sita usiku akarudi nyumbani Na kukuta kufuli nyumbani kwake akaenda hadi chumba anacholala yeye Na kubisha hodi dirishan Lakini hakujibiwa akagonga wanapolala watoto Na watoto wakaamka Na kumkuta baba yao mlangoni Na wakamuuliza baba mama yupo wapi?baba akawadanganya kwa kuwaambia kuna sehemu ameenda mida ya saa Saba mama akawa analetwa njiani Karibu Na nyumba akaona mlangoni kuna mtu amesimama
Je unataka kujua nn kiliendelea
Fatilia  kisa HIKI baaada ya siku tatu
Asanteni wote wasomaji wangu
Kwa Kukutangazia biashara yako usiache kunitafuta kupitia simu namba 0743822347
Au kilingadeodatus5@gmail.com
Thanks so much
Contact me

NAFASI ZA KAZI JIAJIRI

Karibu kwenye blog yangu ya Deodatus media inapenda kukutangazia wewe kijana mahali popote ulipo kuwa
Kama unataka Kufanya matangazo yoyote kwa bei nafuu
Iwe ni biashara au NAFASI Za ajira tangaza nami kwa bei nafuuu kwa kupitia gmail account ambayo ni
Kilingadeodatus5@gmail.com
Au kwa simu namba 0743822347
Na tutafanya kazi pamoja
Aksante

Jumatatu, 19 Machi 2018

KULALA NA NGUO ZA NDANI NI CHANZO CHA UGUMBA?

Magazeti mengi yalieleza kwamba kulala Na nguo Za NDANI ni chanzo cha ugumba (je kweli?)kuhusu jambo hili

Fatilia makala HII hadi Mwisho tukueleze
Kwanzaa kwa upande wa mwanamke jambo hili haliwezi sababisha ugumba kwa mujibu wa madaktari wengi wanasema Kwamba kutokana Na viungo vya uzazi wa mwanamke vipo ndani haviwezi leta madhara yoyote ila kwa upande wa mwanaume tatizo hili linaweza kutokea kwa kuvaaa nguo Za kubana kutokana Na viungo vya uzazi wa mwanaume vipo nje Hali hii inaweza kutokea kutokana Na kuvaa nguo Za kubana Sana wakati wa usiku vilevile kuvaa nguo Za mpira

Kuna mambo yanaweza kusababisha ugumba Kama vile magonjwa ya ngono pia makovu yatokanayo Na upasuaji vilevile magonjwa ya muda mrefu

Asante kwa kufatilia makala yetu kwa kupata habari nyingi zaidi

Jumapili, 18 Machi 2018

JIFUNZENAMNA HII BORA NA NZURI ZA MAPISHI

  1. Karibu msomaji wetu kwenye kipindi hichi Na sehemu HII nzuri Tunajifunza vitu MBALIMBALI Ila leo ningependa Nikufundishe namna nzuri ya mapishi Mapishi hayo ni Yapi fuatilia Jinsi ya kupika chapati Za maziwa pamoja Na blue band MAHITAJI Unga nusu kilo 1/2 Maziwa kikombe cha chai Chumvi kijiko kidogo cha chai Sukari kidogo Blue band robo kilo 1/4 UTAYARISHAJI Changanya unga pamoja Na chumvi vizuri Kisha weka sukari Na Changanya tena kisha Maziwa Na uukande kwa dakika tano Kisha blueband na Ukande tena kwa muda wa dakika kumi Na tano(15) Hadi mchanganyiko wako ukae Sawa kisha Kata vipande unavyo taka Na uweke kwenye kibao usigine hadi Utakapopata umbo la duara Kisha weka mafuta kidogo kwenye flampeni Fanya hivo hadi zote ziishe kisha weka mezani Tayari kwa kuliwa Na kitu Chochote UNACHOTAKA
    Mapishi ya maandazi
  2. MAHITAJI 
  3. UNGA KILO MOJA
  4. sukari kikombe cha chai 
  5. Mafuta nusu Lita 
  6. Maziwa nusu kikombe cha chai 
  7. Hamira kijiko cha chakula
  8. Baking powder nusu kijiko cha chakula
  9. Maji ya uvuguvugu
  10. MAHITAJI 

  11. Jinsi ya kuandaaa
  12. Changanya UNGA hamira zote pamoja Na sukari hadi vicha
  13. Nganikane vizuri kisha weka mafuta kidogo na weka maji kanda
  14. Kwa muda wa nusu saa hadi mchanganyiko ukae vizuri
  15. Kisha Acha uumuke kwa nusu saa 
  16. Kisha toa Na Katavipande
  17. Unavyotaka huku

    Ukiwa umeweka mafuta kwenye kikaango
  18. Na kisha choma Na Tayari kwa matumizi










Karibu kwenye blog ya DEODATUS MEDIA

Karibu sana kwenye blog ya Deodatus Media. Hii ni blog yako ya kukupa habari za kweli na uhakika. Tunakuahidi blog hii kuwa blog ya kwanza Tanzania kwa kutoa huduma nzuri za habari, mafunzo mbali mbali ya kukufundisha kuhusiana na maisha n.k.

Ukiwa na Tangazo unataka tukutangazie kwenye blog hii ni bei ndogo sana wasiliana nasi kwa haraka kupitia email hii deodatuskilinga5@gmail.com utajibiwa kwa haraka sana. Unachotakiwa ni kuelezea nini unataka kutangaza mfano kutangaza biashara, Huduma au kutangaza blog au website ili ijulikane na watu wengi zaidi.

Vitu vizuri share na marafiki. Watumie marafiki anwani ya blog hii ambayo ni deodatus media.blogspot.com watumie kwenye magroup ya whatsapp facebook na kwingineko ili nao waje kufaidika na habari zinazoandikwa kwenye blog hii ya kwanza kwa kutoa habari za kweli. Ukiwa na maoni comment hapa chini. Karibu sana.