- Karibu msomaji wetu kwenye kipindi hichi Na sehemu HII nzuri
Tunajifunza vitu MBALIMBALI Ila leo ningependa
Nikufundishe namna nzuri ya mapishi
Mapishi hayo ni Yapi fuatilia
Jinsi ya kupika chapati
Za maziwa pamoja Na blue band
MAHITAJI
Unga nusu kilo 1/2
Maziwa kikombe cha chai
Chumvi kijiko kidogo cha chai
Sukari kidogo
Blue band robo kilo 1/4
UTAYARISHAJI
Changanya unga pamoja Na chumvi vizuri
Kisha weka sukari Na Changanya tena kisha
Maziwa Na uukande kwa dakika tano Kisha blueband na
Ukande tena kwa muda wa dakika kumi Na tano(15)
Hadi mchanganyiko wako ukae Sawa kisha
Kata vipande unavyo taka Na uweke kwenye kibao usigine hadi
Utakapopata umbo la duara Kisha weka mafuta kidogo kwenye flampeni
Fanya hivo hadi zote ziishe kisha weka mezani Tayari kwa kuliwa
Na kitu Chochote UNACHOTAKA
Mapishi ya maandazi
- MAHITAJI
- UNGA KILO MOJA
- sukari kikombe cha chai
- Mafuta nusu Lita
- Maziwa nusu kikombe cha chai
- Hamira kijiko cha chakula
- Baking powder nusu kijiko cha chakula
- Maji ya uvuguvugu
- MAHITAJI
- Jinsi ya kuandaaa
- Changanya UNGA hamira zote pamoja Na sukari hadi vicha
- Nganikane vizuri kisha weka mafuta kidogo na weka maji kanda
- Kwa muda wa nusu saa hadi mchanganyiko ukae vizuri
- Kisha Acha uumuke kwa nusu saa
- Kisha toa Na Katavipande
- Unavyotaka huku
Ukiwa umeweka mafuta kwenye kikaango
- Na kisha choma Na Tayari kwa matumizi
Mapishi ya maandazi
Ukiwa umeweka mafuta kwenye kikaango
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni