Fatilia makala HII hadi Mwisho tukueleze
Kwanzaa kwa upande wa mwanamke jambo hili haliwezi sababisha ugumba kwa mujibu wa madaktari wengi wanasema Kwamba kutokana Na viungo vya uzazi wa mwanamke vipo ndani haviwezi leta madhara yoyote ila kwa upande wa mwanaume tatizo hili linaweza kutokea kwa kuvaaa nguo Za kubana kutokana Na viungo vya uzazi wa mwanaume vipo nje Hali hii inaweza kutokea kutokana Na kuvaa nguo Za kubana Sana wakati wa usiku vilevile kuvaa nguo Za mpira
Kuna mambo yanaweza kusababisha ugumba Kama vile magonjwa ya ngono pia makovu yatokanayo Na upasuaji vilevile magonjwa ya muda mrefu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni