Habari mpenzi msomaji wa blog Ya Deodatus media napenda kukufundisha Habari hii ili uelimike Na ujue jinsi ya kuishi Na watu wote
Kulikuwa Na familia moja ya mke,mme Na watoto wawili ambao walikuwa wakiishi pamoja
Siku zilivyozidi Kwenda mke akawa anapenda kucheat Lakini mme alivyokuwa anaambiwa akawa anapotezea Na mke akawa anamdanganya mmewe Lakini siku moja mme akataka kufanya suprise kwa mkewe
Siku hiyo aliaga anasafiri Na sivyo ndivyo alienda gesti mida ya saa sita usiku akarudi nyumbani Na kukuta kufuli nyumbani kwake akaenda hadi chumba anacholala yeye Na kubisha hodi dirishan Lakini hakujibiwa akagonga wanapolala watoto Na watoto wakaamka Na kumkuta baba yao mlangoni Na wakamuuliza baba mama yupo wapi?baba akawadanganya kwa kuwaambia kuna sehemu ameenda mida ya saa Saba mama akawa analetwa njiani Karibu Na nyumba akaona mlangoni kuna mtu amesimama
Je unataka kujua nn kiliendelea
Fatilia kisa HIKI baaada ya siku tatu
Asanteni wote wasomaji wangu
Kwa Kukutangazia biashara yako usiache kunitafuta kupitia simu namba 0743822347
Au kilingadeodatus5@gmail.com
Thanks so much
Contact me
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni